Habari zenyu wanaJF,
Ningependa kujua kama kuna duka/maduka yanayouza virutubishi au Supplements hapa Bongo kwetu. Kuna makampuni kama Ayurveda na mengine mengi tu yanayouza Hivi Virutubishi duniani. Au km wana maajenti hapa Bongo. Basi tujuzane.
Kazi njema.