Duka la Virutubishi au Supplements hapa Bongo

njamayo

Senior Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
150
Reaction score
42
Habari zenyu wanaJF,

Ningependa kujua kama kuna duka/maduka yanayouza virutubishi au Supplements hapa Bongo kwetu. Kuna makampuni kama Ayurveda na mengine mengi tu yanayouza Hivi Virutubishi duniani. Au km wana maajenti hapa Bongo. Basi tujuzane.

Kazi njema.
 
Check watu wa Oriflm au foreva living
 
Back
Top Bottom