C chen Member Joined Feb 12, 2012 Posts 64 Reaction score 7 Aug 28, 2013 #1 Mi ni kijana umri miaka 23 nina aidia ya kufungua duka la vyakula rejareja maeneo ya Kigambon ila sina uzoefu na biashara na nikiazio kipi cha mkwanja wa kuazia hadi sasa nina 60,0000. NAOMBA MSAADA KWA WENYE UZOEFU NA BIASHARA.
Mi ni kijana umri miaka 23 nina aidia ya kufungua duka la vyakula rejareja maeneo ya Kigambon ila sina uzoefu na biashara na nikiazio kipi cha mkwanja wa kuazia hadi sasa nina 60,0000. NAOMBA MSAADA KWA WENYE UZOEFU NA BIASHARA.
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,402 Reaction score 2,550 Aug 28, 2013 #2 Kama utakaa wewe mwenyewe golini utatoka. Changamoto ni kumweka mtu mwaminifu kufanya mauzo. Ukiwa na location Nzuri wenye maduka ya jumla wanaweza kukupiga jeki
Kama utakaa wewe mwenyewe golini utatoka. Changamoto ni kumweka mtu mwaminifu kufanya mauzo. Ukiwa na location Nzuri wenye maduka ya jumla wanaweza kukupiga jeki