Duka la vyakula rejareja

Duka la vyakula rejareja

chen

Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
64
Reaction score
7
Mi ni kijana umri miaka 23 nina aidia ya kufungua duka la vyakula rejareja maeneo ya Kigambon ila sina uzoefu na biashara na nikiazio kipi cha mkwanja wa kuazia hadi sasa nina 60,0000.

NAOMBA MSAADA KWA WENYE UZOEFU NA BIASHARA.
 
Kama utakaa wewe mwenyewe golini utatoka. Changamoto ni kumweka mtu mwaminifu kufanya mauzo.

Ukiwa na location Nzuri wenye maduka ya jumla wanaweza kukupiga jeki
 
Back
Top Bottom