SOLD: Duka limeshauzwa, Asanteni kwa ushirikiano wenu

Status
Not open for further replies.

director Zion

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
67
Reaction score
30
Habari ndugu zangu, nauza duka langu lililopo Tandika double kibin sokoni, duka ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukari, ngano, mafuta, sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.

Biashara Ni nzuri Sana na ofisi ni nzuri ila mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu.

Hutojuta, mimi mwenyewe naliuza huku roho inaniuma...

Changamkieni fursa utanishukuru baadaye....

Mawasiliano yangu Ni 0656 052164 kwa aliye serious tu ...ahsante
 

Attachments

  • FB_IMG_1597335343931.jpg
    55.8 KB · Views: 6
Usiliuze duka kama linafanya vizuri. Watu wako ulaya wanamiliki maduka bongo, usiogope.

Tafuta mtu mkabidhi huo mtaji aendelee nao awe anakupa kiasi mtakachokubaliana kila mwezi. Huku mtaji wako ukiwa palepale pia ukiongezeka

Mimi naweza hilo kwa uaminifu kabisa.
 
Mkuu upo wapi ni pm tuzungumzee kidogo usiuze duka
 
Nikweli,ila biashara Kama hii inahitaji ukaribu wa karibu sana
 
Siuniachie tu ile duka Bimkubwa dunia yenyewe tunaicha.
 
Mtaji wa 20m
Kwa sasa imebaki mtaji wa sh ngapi? Na kodi imebaki ya miezi mingapi?
Lakini vitu ulivyo piga picha havina thamani ya 20m.
Mil 20 ndo thamani ya duka,yaan bidhaa, Kuna store haipo kwenye pic hapo,kod Ni laki na nusu kwa mwezi inayoisha mwenz wa Tisa.ahsante
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…