SOLD: Duka limeshauzwa, Asanteni kwa ushirikiano wenu

Status
Not open for further replies.
Mil 20 ndo thamani ya duka,yaan bidhaa, Kuna store haipo kwenye pic hapo,kod Ni laki na nusu kwa mwezi inayoisha mwenz wa Tisa.ahsante
Wanakuchosha mkuu Mimi nashauri mtu mwenye uhitaji ni vema akafika eneo la tukio halafu akathaminisha kwa mahesabu halisia maana kwa vyovyote hakuna Mtu atalipia kwenye cm bila kuona na kufanya hesabu ili kupata uhakika wa kile anachonunua
 
Ni kweli mkuu usemalo, ahsante
 
Badala ya kutuma picha za duka kwa vile umeamua kuambatanisha, umeajaza picha za sura yako... hatuchelewi kuwaza unajiuza!!
 
Badala ya kutuma picha za duka kwa vile umeamua kuambatanisha, umeajaza picha za sura yako... hatuchelewi kuwaza unajiuza!!
Akili yako ndipo ilipoishia hapo,sio mbaya kubishana na mpumbavu wa akili Kama wew
 
Za muda huu wanafamilia ya JamiiForums, ahsante kwa ushirikiano wenu...duka limepata mteja.. ahsanteni sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…