Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Kabisa, Hana mazoeziNahisi hafanyagi mazoezi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, Hana mazoeziNahisi hafanyagi mazoezi kabisa
[emoji23][emoji23]Angepigana nje ya nchi angesema ameshinda ila amenyang'nywa point.
Nahisi hafanyagi mazoezi kabisa
Hamna bondia mleHuyu Amdala hamna kitu aisee miaka yote yeye hawezagi kujilinda
Hapa kashaangushwa Mara tatu na mkongo man round ya 8 hii
Mapromota wataanza kumkimbia huyu jamaa,hamna wakutoa kiingilio aangalie utumboKabisa, Hana mazoezi
Anakwambia yeye sio bondia yeye ni muuajiAfwile munu, asigale munu,
Dulla ni Bondia wa Mikwala tu
Hamna bondia mle
Hamna Kitu Kabisa, Kusuka KawezaHuyu ni Dulla Makabila, Sio Dulla Mbabe🐒
Tunatarajia watoto mapacha kutoka kwa lijibwana la Kikongo, bibi harusi alisuka nywele zake vizuri sanaHuyu Amdala hamna kitu aisee miaka yote yeye hawezagi kujilinda
Hapa kashaangushwa Mara tatu na mkongo man round ya 8 hii
Mimi siyo bondia ni muuaji😀😀😀😀Nimeng'atwa na mbuziiiii
Amepokea Kichapo Na Tawire Mganga ZakeTatizo anawekeza akili kwenye tunguri zaidi kuna kajamaa fulani kana kuwa mbele kila anapoingia uwanjani nina wasiwasi nako
Hamna Kitu Kabisa, Kusuka Kaweza
Leo Alikuwa Anagalagazwa Tu, Kazi Kutema Ute Tele Na Kuanguka ChiniMimi siyo bondia ni muuaji😀😀😀😀