Dulla anapokea kipigo cha mbwa koko huko

Hadi majaji wameona aibu namna ya kumpa ushindi Dulla. Kama angeangushwa ile mara moja tu ungesikia mshindi Dulla, lakini afilwe munu katuangusha sana. Yule katomba ni noma na nusu
 
Ila jamaa ana ngumi nzito sana aise.
Ni hatari
 
Halafu hakuna na maandalizi wamemstukiza
Katompa kanifurahisha sana aise
Ana ngumi kali sana
Anaweza akaua mtu
Dulla alivumilia sana sana.
Watu wanapendeleza Dulla akafanye CT SCAN ya kichwa.
Huenda kilijeruhiwa vibaya
 
wenzetu walioendelea ndan ya mwaka wanapigana mapambano mawil had matatu sasa wew mbongo na njaa zako ndan ya miez tu umeshapigana mapambano matano Yan matano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…