babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wake zake wanne atawashindabondia ana wake wanne atamshinda nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wake zake wanne atawashindabondia ana wake wanne atamshinda nani ?
Bonge la pambanoAfile munu, asigale munu [emoji1787][emoji23]
Ni huzuni kwakweli
Tusubiri early morning Fury Vs Wilder.
Nchi ìnamiliki vijana wa hovyo sana😂😂😂Dula amuige mwakinyo, atafute wastaafu huko aje ajipigie akijidai kuendelea kuleta walio kazini atafia uwanjani shauri yake
Jamaa anajifanya wa Darisalaaaaaaama,anafikiri kiongea vineno vya kizaramo ndio wapinzani wake watamuogopa,ana uwezo mdogo sana ameshindwa kabisa kocontain game,sijapenda kaidhalilisha TanzaniaAfile munu, asigale munu.
Hahahah....ni uwezo wake mkuu [emoji2][emoji2][emoji2]Yes nilikua nafatilia mkuu, huyu mkongo leo kapaka mkongo [emoji848]
Hamna bondia mle
Anakwambia yeye sio bondia yeye ni muuaji
😂😂😁Bado stars leo nao watuaibishe maisha yasonge
Kwa taarifa yako viazi ni wanga mzuri sana na vinautia nguvu mwiliChips yai na soda unakuwaje strong sasa