Dulla Makabila: Manara alinirubuni kuhamia Simba

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mwanamuziki Dullama kabila amedai kuwa msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara alimrubuni kuhamia klabu ya simba ambayo hapo awali alikuwa akiifanyia kazi.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Dulla ameandika "Haji Sunday Manara Nashukuru Sana Kwa Kuniponza Umekuja Ukanichukua Vizuri Kwa Wananchi Nikarekodi Ukalipia Hela Ya Studio Na Ukanifanyisha Wimbo Wa Simba Kumbe Ulikuwa Na Mipango Yako 😢

Kwa Kifupi Umeninunua Na Mkataba Wetu Leo Ndo Umeisha Cm Zangu Haupokei kama Hauwezi Kurenew Mkataba Naomba Unirudishe Nilipokuwa Maana Naona Mwenzangu Unanenepa Na Kuchekacheka Kwenye Makochi Ya gsm mall Mimi Nakonda Na Kunyauka 😭😭

Kama Ulivyoniapiza Kwenye interview tuliyofanya wasafi fm Naomba Unirudishe Tena Vile Vile 😭😭😭

WANANCHI MANARA ALINILUBUNI NAOMBA MNISAIDIE NIFURAHIE TENA MAISHA YA SOCCER. 🙏🏽🙏🏽😭😭😭😭"
 
Mwanamuziki dullama kabila amedai kuwa msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara alimrubuni kuhamia klabu ya simba ambayo hapo awali alikuwa akiifanyia kazi.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Dulla ameandika "Haji Sunday Manara Nashukuru Sana Kwa Kuniponza Umekuja Ukanichukua Vizuri Kwa Wananchi Nikarekodi Ukalipia Hela Ya Studio Na Ukanifanyisha Wimbo Wa Simba Kumbe Ulikuwa Na Mipango Yako [emoji22]

Kwa Kifupi Umeninunua Na Mkataba Wetu Leo Ndo Umeisha Cm Zangu Haupokei kama Hauwezi Kurenew Mkataba Naomba Unirudishe Nilipokuwa Maana Naona Mwenzangu Unanenepa Na Kuchekacheka Kwenye Makochi Ya gsm mall Mimi Nakonda Na Kunyauka [emoji24][emoji24]

Kama Ulivyoniapiza Kwenye interview tuliyofanya wasafi fm Naomba Unirudishe Tena Vile Vile [emoji24][emoji24][emoji24]

WANANCHI MANARA ALINILUBUNI NAOMBA MNISAIDIE NIFURAHIE TENA MAISHA YA SOCCER. [emoji1431][emoji1431][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]"
sio sehemu yake humu
 
Mwanamuziki Dullama kabila amedai kuwa msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara alimrubuni kuhamia klabu ya simba ambayo hapo awali alikuwa akiifanyia kazi.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Dulla ameandika "Haji Sunday Manara Nashukuru Sana Kwa Kuniponza Umekuja Ukanichukua Vizuri Kwa Wananchi Nikarekodi Ukalipia Hela Ya Studio Na Ukanifanyisha Wimbo Wa Simba Kumbe Ulikuwa Na Mipango Yako [emoji22]

Kwa Kifupi Umeninunua Na Mkataba Wetu Leo Ndo Umeisha Cm Zangu Haupokei kama Hauwezi Kurenew Mkataba Naomba Unirudishe Nilipokuwa Maana Naona Mwenzangu Unanenepa Na Kuchekacheka Kwenye Makochi Ya gsm mall Mimi Nakonda Na Kunyauka [emoji24][emoji24]

Kama Ulivyoniapiza Kwenye interview tuliyofanya wasafi fm Naomba Unirudishe Tena Vile Vile [emoji24][emoji24][emoji24]

WANANCHI MANARA ALINILUBUNI NAOMBA MNISAIDIE NIFURAHIE TENA MAISHA YA SOCCER. [emoji1431][emoji1431][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]"
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
IMG_20220205_203252.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bongo kuna vituko, yaani ukijifia kwa stress umezitaka mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom