Dulla Mbabe Vs Francis Cheka

Dulla Mbabe Vs Francis Cheka

Walioko Karibu Na Cheka Wamwambie atundike gloves,vijana watamuua asifikiri boxer ni kama muziki..boxer ukongwe ni kustaafu na heshima yako..vijana watamuua.
 
Hivi wabongo mbona mna vichwa vigumu Kama mawe? Yaani mpaka Sasa hamjajua namna nzuri ya kurekodi video vizuri kwa simu?
 
Unafananisha ulaya kwenye gym na maisha ya uhakika na uku kwetu kwenye maisha yakuunga unga.Uyo cheka maisha yake ya ulingoni kwa bongo hii yameshaisha.Kwa umri alionao hatakiwi kupigana kwa stress za maisha sasa hivi.
Ni Nidhamu tu.

Mbona mbele mbele huko mabondia wana umri umeenda tu ila bado wanazichapa tena sana tu, for example Floyd is 41 years old ila still anapigana.
 
Ni Nidhamu tu.

Mbona mbele mbele huko mabondia wana umri umeenda tu ila bado wanazichapa tena sana tu, for example Floyd is 41 years old ila still anapigana.
Uzee wa bongo ni tofauti kabisa na wa ulaya na marekani. Mfumo wa maisha, kipato n.k.
 
Back
Top Bottom