Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hivi manpakiao (kama nimekosea jina lake mniwie radhi) ni wa nchi gani, mana naye alikuwa na ngumi jiwe, kumuumua mtu uso ilikuwa ni jadi yake.
Mazoezi na lishe..walimu wazuri, vifaa vizuri na vya kutosha, mazingira mazuri ya mazoezi... Team kamili iliyojaa wajuzi kamaUlaya ya mashariki yote ile ni balaa,Ukraine na Rusia ndo funga kazi,unapigwa ngumi na kijimtu chembamba kama rula lakini uzito wa ngumi kama gurudumu la treni.
Ndio maana akajirekodi kusema kwamba haendi huko....Huyo atakuwa Dullah mbabe kweli au ndio mmetengeneza sauti tu.
Mbona May 20 ni kesho 🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo hata kwenda ameogopa.Ndio maana akajirekodi kusema kwamba haendi huko....
Ugumu wamfupa ndo afya ,nyie unene hovyo ndo afya ,kulazoezi mfupa ukae sawaUlaya ya Mashariki yote ile ni balaa, Ukraine na Rusia ndo funga kazi, unapigwa ngumi na kijimtu chembamba kama rula lakini uzito wa ngumi kama gurudumu la treni.
Russia wana utamaduni wakucheza wrestling na boxing kama michezo ya kawaida, ndio maana wanaongoza kwa Street fighting. Huku kwetu mpaka mtu kakomaa ndio anakuja kujifunza boxing tena kwasababu ya hali ngumu ya maisha. Naona wa Nigeria nao wameanza kutumia nguvu yao ya kula Cassava kupigana UFC na wanafanya vizuri nao wanautamaduni wa traditional wrestling kwaiyo by nature ni fighters pia lakini uku kwetu niishie hapo tu [emoji23]Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amesema hawezi kwenda tena kupigana nchini Urusi na Kazakhstan kwa sababu mabondia wa kule ni wakali sana.
Pia amewatahadharisha mabondia wa Tanzania wanaokwenda kule kuwa mabondia wa nchi hizo huwa hawapoi na huwa wanapiga ngumi kama mawe.
Abdallah Pazi alikuwa na Pambano nchini Urusi Mei 20, 2021(Haijathibitika kama ataenda).
View attachment 1790388
Kwaiyo mtu anaweza kuwa chibonge lakini akawa na mfupa mwepesi?Ugumu wamfupa ndo afya ,nyie unene hovyo ndo afya ,kulazoezi mfupa ukae sawa