NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hapo ni full package,vikitiamia hivi lazima mtu akae.Mazoezi na lishe..walimu wazuri, vifaa vizuri na vya kutosha, mazingira mazuri ya mazoezi... Team kamili iliyojaa wajuzi kama
Mwalimu wa viungo
Mwalimu wa ngumi
Mpishi
Daktari
Mtaalam wa saikolojia
Mtaalam wa mavazi nknk
Inakuwaje mtu anapigwa ngumi ya kidevu alafu anakosa nguvu anakaa(anaanguka) wakati kilichopigwa ni kidevu na sio miguu?