NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hapo ni full package,vikitiamia hivi lazima mtu akae.Mazoezi na lishe..walimu wazuri, vifaa vizuri na vya kutosha, mazingira mazuri ya mazoezi... Team kamili iliyojaa wajuzi kama
Mwalimu wa viungo
Mwalimu wa ngumi
Mpishi
Daktari
Mtaalam wa saikolojia
Mtaalam wa mavazi nknk
Inakuwaje mtu anapigwa ngumi ya kidevu alafu anakosa nguvu anakaa(anaanguka) wakati kilichopigwa ni kidevu na sio miguu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapo ni full package,vikitiamia hivi lazima mtu akae.
Inakuwaje mtu anapigwa ngumi ya kidevu alafu anakosa nguvu anakaa(anaanguka) wakati kilichopigwa ni kidevu na sio miguu?
ukipigwa vizuri unapaaaaInakuwaje mtu anapigwa ngumi ya kidevu alafu anakosa nguvu anakaa(anaanguka) wakati kilichopigwa ni kidevu na sio miguu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unajua hakuna ngumi mbaya kama hiyo ya chini ya kidevu...inaitwa upper cut..ukipigwa moja maridadi lazima miguu ikose ushirikiano
ukipigwa vizuri unapaaaa
Kweli uende ukutana akina mjomba kovu toplov kovichMazoezi na lishe..walimu wazuri, vifaa vizuri na vya kutosha, mazingira mazuri ya mazoezi... Team kamili iliyojaa wajuzi kama
Mwalimu wa viungo
Mwalimu wa ngumi
Mpishi
Daktari
Mtaalam wa saikolojia
Mtaalam wa mavazi nknk
NdiyoKwaiyo mtu anaweza kuwa chibonge lakini akawa na mfupa mwepesi?