Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amepoteza pambano lake dhidi ya Pavel Silyagin lililopiganwa Moscow, Urusi wakiwa wanawania mkanad wa Asian Pacific mkanda wa WBO ambapo alishindwa kwa points.
Aidha Twaha Kassimu (Twaha Kiduku) amepoteza kwa points katika pambano lake dhidi ya Bek Nurmaganbet. Huku Nasibu Ramadhani akiwa ameshindwa kwa Knock Out katika pambano lake dhidi ya Yergniy Pavlov.
Alphonce Mchumiatumbo atapigana na Vartan Arutyunyan, leo Mei 21, 2021 nchini Urusi.