Dullah Mbabe na wenzake wapoteza mapambano yao nchini Urusi

Dullah Mbabe na wenzake wapoteza mapambano yao nchini Urusi

Bondia wanakula ugoro mnasubil nin sasa!!!
 
Hili neno "NA WENZAKE" kwanini linatumaka sana? Mara utaskia Halima NA WENZAKE
 
Wamejitahidi sana, nawapa hongera ndugu zangu maana warusi sio watu wazuri.
Azam tv kwanini wanashindwa kutupa live coverage ya mapambano Kama haya? Azam msituangushe bana, bakbresa anayo pesa msiwe wabaili namna hiyo mnatunyima uhondo.
 
Back
Top Bottom