Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sijaelewa wamejitahd vp wakati wamepigwa mkuuWamejitahidi
Warusi huwa wanaua.Sasa kama wametoka wakiwa hai huko siyo kujitahidi?
Maneno huuma.... Wamedundwa kweliAbdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amepoteza pambano lake dhidi ya Pavel Silyagin lililopiganwa Moscow, Urusi wakiwa wanawania mkanad wa Asian Pacific mkanda wa WBO ambapo alishindwa kwa points.
Aidha Twaha Kassimu (Twaha Kiduku) amepoteza kwa points katika pambano lake dhidi ya Bek Nurmaganbet. Huku Nasibu Ramadhani akiwa ameshindwa kwa Knock Out katika pambano lake dhidi ya Yergniy Pavlov.
Alphonce Mchumiatumbo atapigana na Vartan Arutyunyan, leo Mei 21, 2021 nchini Urusi.
Kutopigwa kwa knock out urusi na kazakhstan
kawaida yao uachaiwi haupandi ndegeAbdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amepoteza pambano lake dhidi ya Pavel Silyagin lililopiganwa Moscow, Urusi wakiwa wanawania mkanad wa Asian Pacific mkanda wa WBO ambapo alishindwa kwa points.
Aidha Twaha Kassimu (Twaha Kiduku) amepoteza kwa points katika pambano lake dhidi ya Bek Nurmaganbet. Huku Nasibu Ramadhani akiwa ameshindwa kwa Knock Out katika pambano lake dhidi ya Yergniy Pavlov.
Alphonce Mchumiatumbo atapigana na Vartan Arutyunyan, leo Mei 21, 2021 nchini Urusi.
Refa fala badala amdake anamuacha hadi anafika chini