Hakika hawa jamaa ni talented kwa upande wa utangaji, kuna presenters wana uwezo mkubwa ila hawapati makubwa kulingana na uwezo wao.Wapewe maua yao mapema kabisa
Ameamua kuzeekea radio 1Hivi Aboubakary sadick Bado yuko radio one?
Sami Tetesi zipo ni shoga na ana you tube channel yakeDamu yangu Sana huyo Jamaa , kipindi nipo Bukoba nilikuwa nasikiliza planet bongo kwa Sana na nilikuwa namkubali Sana Sami misago kinoma noma Sasa sijui huwa inakuaje hapa Kati hivi vipaji vinapotea .Sam misago sijui alipatwa na Jambo gani yaani.
Acha kuchafua watu wewe msengee Sana Jamaa kapata Ajira nzuri I know about him na yupo na websites zake plus YouTube channel so unachoongea kinaonesha wewe ni mpumbavuSami no shoga na ana you tube channel yake
Sam misago alitaka kuongezewa mshahara baada ya kipindi chake cha fnl kupata watazamaji wengiDamu yangu Sana huyo Jamaa , kipindi nipo Bukoba nilikuwa nasikiliza planet bongo kwa Sana na nilikuwa namkubali Sana Sami misago kinoma noma Sasa sijui huwa inakuaje hapa Kati hivi vipaji vinapotea .Sam misago sijui alipatwa na Jambo gani yaani.
Mkali huyu alibamba zaidi kwenye vipindi vya radio hiyo fnl nazani ilikufa baada ya sam misago kuondoka mpaka leo hawakuweza kuziba gap la sam misagoMimi binafsi nitamkumbuka sana hapo kwenye Friday Night Live
Ejamaaaaa eheee Baki nasiiii
FNL haijawahi kuwa kama ya Sam...Mimi binafsi nitamkumbuka sana hapo kwenye Friday Night Live
Ejamaaaaa eheee Baki nasiiii
Miaka 15 mbna muongo s jus tu nikiwa chuo 2011 ndio ameingia