Dullah Planet aaga rasmi EATV

Dullah Planet aaga rasmi EATV

Keshatengeneza jina kubwa, sio aende kwenye media za mitaa ya jiji la dar, viredio na vitivii vya uchochoroni. Anatakiwa aibukie kwenye media kubwa yenye wasikilizaji/watazamaji wengi nchini. Aka lounch kipindi kingine kikali zaidi ya planet bongo. Media kama ITV, Clouds, channel ten na star tv zinamfaa na sio wasafi na emf hizo ni media ndogo sana na hazina watazamaji/wasikilizaji wengi nchi nzima
 
Damu yangu Sana huyo Jamaa , kipindi nipo Bukoba nilikuwa nasikiliza planet bongo kwa Sana na nilikuwa namkubali Sana Sami misago kinoma noma Sasa sijui huwa inakuaje hapa Kati hivi vipaji vinapotea .Sam misago sijui alipatwa na Jambo gani yaani.
 
Sami Tetesi zipo ni shoga na ana you tube channel yake
 
Damu yangu Sana huyo Jamaa , kipindi nipo Bukoba nilikuwa nasikiliza planet bongo kwa Sana na nilikuwa namkubali Sana Sami misago kinoma noma Sasa sijui huwa inakuaje hapa Kati hivi vipaji vinapotea .Sam misago sijui alipatwa na Jambo gani yaani.
Sam misago alitaka kuongezewa mshahara baada ya kipindi chake cha fnl kupata watazamaji wengi

Huyu pia dulla alitakiwa kuondoka muda ila eatv walishagundua ataacha gepu wakawa wanamuongeza posho kuna muda walimpa hadi gari
 
Mimi binafsi nitamkumbuka sana hapo kwenye Friday Night Live

Ejamaaaaa eheee Baki nasiiii
FNL haijawahi kuwa kama ya Sam...
download.jpeg
 
Back
Top Bottom