Dullah Planet aaga rasmi EATV

FNL ilibamba kipindi yupo sam huyo chawa billsepenga ndio alikuja kuharibu anamaswali ya kiudaku udaku muda wote kalewa
 
Sam misago alitaka kuongezewa mshahara baada ya kipindi chake cha fnl kupata watazamaji wengi

Huyu pia dulla alitakiwa kuondoka muda ila eatv walishagundua ataacha gepu wakawa wanamuongeza posho kuna muda walimpa hadi gari
Wengi wanaondoka IPP sababu hawalipwi vizuri lakini pia ni moja ya media zinazoendeshwa professionally Ila hawajui kuwabrand presenters wao. Ndio maana usishangae mtu akitoka EATV akapata jina kubwa kwingineko
 
Wewe kwenu si hakuna TV, utamjuaje huyu.... Mshamba mmoja tu wewe, TV kwenu kama mnayo basi mmenunua Juzi

TV tu, hata redio

Mtu mwenye akili timamu kwamba anamjua Somebody called Dullah, what the heck, wanaomjua ni wenye akili ndogo

Narudia tena

1. Wavaa milegezo
2. Wanyoa viduku
3.Wanaojichubua
4. Wavaa suruali za kubana
 
Usichukulie ni jambo jepesi kama mtangazaji anaanzisha show nakupata wazamini

Halafu unaonekana ni mpumbafu kusema humjui mtangazaji aliyeajiriwa kwenye media kubwa ya eatv kwa miaka 15 hii ni hazina kubwa sana
 
Simjui dulla, nawajua watangazaji wenye hadhi ya utangazaji, wakati Ivona Kamuntu anahama Star TV alifanya Press Mlimani city??

Baruan Muhuza amekaa over 15+ RFA alifanya sherehe na matangazo anapohamia Azam

Hao wahuni wenu mnawajua nyinyi wavaa Supra na Vest mitaani
 
Aaaaah kipindi kinaenda kuwa mfumbe
 
TV tu, hata redio

Mtu mwenye akili timamu kwamba anamjua Somebody called Dullah, what the heck, wanaomjua ni wenye akili ndogo

Narudia tena

1. Wavaa milegezo
2. Wanyoa viduku
3.Wanaojichubua
4. Wavaa suruali za kubana
umebaka mada hizi mada sio za umri wako umri umekutupa mkono penda vya muda wako
 
niseme ukweli, nilikuwa simjui kabla, ndio namwona tangu juzi kwenye mitandao anatrend.
 
Unamkumbuka Salim Kikeke wa BBC?
Nimekukumbusha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…