Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
wewe mambo ya vijana unataka walazimike kuwa kama watu wazima hio ni hulka ya umri wao na watavuka pia na kushangaa wengine kama wewe kila kitu ni hatua hata mimi nlikuwa na hekaheka za hali za ujana hivyo muda ni mwalimu wa mabadiliko.Safari ndefu mimi au wewe??
Bila kumsahau Dullah wa zuchuDulla Planet! Dulla Mbabe! Dulla Makabila!! Dullayo!
Aisee wakina Dulla mmetisha sana.
Sebo ...Sasa boss wa E fm dj mafuvuKutokana na kizazi chako una haki ya kusema hivyo....sisi wahenga kwenye FNL tulikuwa tunaluka na yule mganda aisee haikuwa show ya kumiss enzi hizo.
Yeah sebo na steve kapayaItakuwa umeanza kuiangalia baadae sana, hakuna FNL kama kipindi yupo Sebo jamaa aliiendesha vizuri sana
Ile ndio ilikuwa FNL, ilikuwa inafanyika studio ya redio kuanzia saa 5 mpaka 7 usiku, kabla ya hii studio kubwa ya sasa
sema Sam alikuja kuziba gape vizuri sana
Jr yupo wapi sasa iviDakika 10 za maangamizi inazidi kupoteza ule mvuto
Kipindi wapo dullah, fifi na Jr ilikua Moto Sana
Msanii anapewa vibe la kutosha kipindi kilikua lit[emoji91]
Fifi na Jr wakaaga
Now dullah ndio huyoooo....[emoji1751]
Mara ya mwisho nilisikia anawasimamia wasaniiJr yupo wapi sasa ivi
yupo times fm sku hiziJr yupo wapi sasa ivi
Ina maana times wana ela kuliko earadioyupo times fm sku hizi
je kama ea radio ndio waliamua kuvunja mkataba na jr..?au waliachana nae baada ya mkataba kuisha mkuu..?Ina maana times wana ela kuliko earadio
Combination ya Dullah na JR ilikua superbJr yupo wapi sasa ivi
FNL haijawahi kuwa kama ya Ssebo & Dj bush baby waanzilishi.FNL haijawahi kuwa kama ya Sam...
View attachment 2771149
Anaitwa Sebo kama sijakosea!Kutokana na kizazi chako una haki ya kusema hivyo....sisi wahenga kwenye FNL tulikuwa tunaluka na yule mganda aisee haikuwa show ya kumiss enzi hizo.
Kweli kabisa mkuu..Sebo ...Sasa boss wa E fm dj mafuvu
Wewe ungerudisha? 😂Lile gari waliolompa atarudisha au
Yule mganda Sebo alikuwa vizuri ni moto wa kuotea mbali nilikuwa nafatilia show kila ijumaa kwa mbali Dula alijitahidi hawa wengine kawaida sanaKutokana na kizazi chako una haki ya kusema hivyo....sisi wahenga kwenye FNL tulikuwa tunaluka na yule mganda aisee haikuwa show ya kumiss enzi hizo.