Dullah Planet aaga rasmi EATV

Dullah Planet aaga rasmi EATV

Sijui kwa nn..Kuna majina ukiyaskia unaona kabisa mwana Hana baya..nshakutana na kina dulla wengi wako peace sana....@jamaa alikua real sana namkubali..namkumbuk zaidi kwenye zile dk 10 za maangamizi..Kuna muda ilikua fire
 
Sebo na Steve kafaya duu noma sana enzi hizo za Ay na Baba luku!!!
Duuuh duniani hakuna mtu mwembamba
 
Dakika 10 za maangamizi inazidi kupoteza ule mvuto

Kipindi wapo dullah, fifi na Jr ilikua Moto Sana
Msanii anapewa vibe la kutosha kipindi kilikua lit[emoji91]

Fifi na Jr wakaaga

Now dullah ndio huyoooo....[emoji1751]
Jr yupo wapi sasa ivi
 
Kutokana na kizazi chako una haki ya kusema hivyo....sisi wahenga kwenye FNL tulikuwa tunaluka na yule mganda aisee haikuwa show ya kumiss enzi hizo.
Anaitwa Sebo kama sijakosea!
 
Kutokana na kizazi chako una haki ya kusema hivyo....sisi wahenga kwenye FNL tulikuwa tunaluka na yule mganda aisee haikuwa show ya kumiss enzi hizo.
Yule mganda Sebo alikuwa vizuri ni moto wa kuotea mbali nilikuwa nafatilia show kila ijumaa kwa mbali Dula alijitahidi hawa wengine kawaida sana
 
Back
Top Bottom