tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kwahiyo ni mchicha mwiba kitambo,nlikua nahisi hilo mudaKwa waenda club maisha miaka hiyo mtakumbuka huyo chawa hadi ma-mende wakawa wanafanya yao kisa tamaaa,ghafla akawa mbeba pochi wa wema sepetu kipindi kile yuko juu akaanza kujiita bill sepetu siku hizi anairemba eti sepenga,yaaani kazi za media zimekuwa za kijinga sana
Anaendesha tv yake huko youtube aliwaomba eatv wamuongezee mshahara kama unavyojua ubahiri wa mchaga wakagomaMisago katimkia wapi mkuu??
Dogo sepewise Hadi ugoro anapiga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa analewa sana plus ugoro
Juzi kati ilibaki kidogo Lord eyez ampige pale Element....dogo ana shobo za kijinga sanaKwa waenda club maisha miaka hiyo mtakumbuka huyo chawa hadi ma-mende wakawa wanafanya yao kisa tamaaa,ghafla akawa mbeba pochi wa wema sepetu kipindi kile yuko juu akaanza kujiita bill sepetu siku hizi anairemba eti sepenga,yaaani kazi za media zimekuwa za kijinga sana
Misago sahv anakomaa na sammisago tv. .Yan kajiajiri kawa bloggerMisago katimkia wapi mkuu??
Yule maza kampa mtaji ni mboga 7 kwao,istoshe ndio kipenzi cha mamaMisago sahv anakomaa na sammisago tv. .Yan kajiajiri kawa blogger