BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu.
Kuna member humu alishawahi kuandika wanawake wazuri ni kwa ajili ya mwanaume mwenye power binafsi napenda kuwakumbusha wadau tuendelee kutafuta pesa au kama unaweza kuwa maarufu hata kwa level ya mtaa sio mbaya wakianza kujileta peleka moto tu but remember to practice safe sex magonjwa ya zinaa yapo.