BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hawa ukiwa nanhela usiangaike kuoa wee gegeda tupa kule tena waambie upfront kabisa listen am not a one woman manInakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu.
Kuna member humu alishawahi kuandika wanawake wazuri ni kwa ajili ya mwanaume mwenye power binafsi napenda kuwakumbusha wadau tuendelee kutafuta pesa au kama unaweza kuwa maarufu hata kwa level ya mtaa sio mbaya wakianza kujileta peleka moto tu but remember to practice safe sex magonjwa ya zinaa yapo.
True dat Mwanamke wa kumthamini ni yule ambaye anaejali kipindi huna kitu..Hawa ukiwa nanhela usiangaike kuoa wee gegeda tupa kule tena waambie upfront kabisa listen am not a one woman man
Wao wanaagalia je huyu jamaa anaweza nipa lifestyle i desire?True dat Mwanamke wa kumthamini ni yule ambaye anaejali kipindi huna kitu..
If you don't love me now don't love me later cause my later will be much greater it's only prove that you love my paper
Hatarii 🤣🤣🤣Kweli kabisa kama huna hela utaishia kula sura za baba
Hizi ndio natural sasaKweli kabisa kama huna hela utaishia kula sura za baba