Inamaana duly hakuwa ktk hali ya majonzi Alikuwa akiangalia nani kaja na nani hakufika?
Ajifunze kitu sasa hao ndio binadam.
Sawa sawa, cha muhimu ni kwamba mzee wake amezikwa, bila kujali nani alikuwepo na nani hakuwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana duly hakuwa ktk hali ya majonzi Alikuwa akiangalia nani kaja na nani hakufika?
Ajifunze kitu sasa hao ndio binadam.
Ni wasanii wangapi hawakuhudhuria huo msiba? kwanini kutokuhudhuria Diamond ndio ionekane ishu kubwa?
Wabongo kwa maneno kwan ni lazima aende kwenye mazishi si ataenda hata kuhan loo na hamumshushi ng'oooooooo
Ina maana alikuwa analia huku anaangalia waliohudhulia....??
Roho mbaya tuu hawana lolote,wangapi walokua dar wamekuja mpaka wamseme alokua Zanzibar....Wabongo kwa maneno kwan ni lazima aende kwenye mazishi si ataenda hata kuhan loo na hamumshushi ng'oooooooo
Roho mbaya tuu hawana lolote,wangapi walokua dar wamekuja mpaka wamseme alokua Zanzibar....
Bora umewaambia ukweliWw Umeenda Kwny Msiba Kuzika.Au Umeenda Kuchunguza Nani Kafika Na Nani Hajafika.Kama Alimpgia Simu Mfiwa Na Kumtaka Udhuru Ww Unajuaje.Acheni Kuendekeza Majungu Majungu Fanyeni Yenu.Kama Ww Ulifanikiwa Kufika Ongera Yako Kw Kutimiza Wajibu Wako.Lakini Husijione Bora Kuliko Wengine Ambao Hawakupata Nafasi Ya Kuudhurua.Wabongo Ndoman Hatuendelei.Kwsbb Tumekalia Majungu Tu Mpk Misibani
Kuzika kiislam ni sunnat kifaya,usipoudhuria no prblm kama unasababu za kimsingi,ila kibinadam kama huna sbb za msingi yakupasa uende kumtia moyo mwenzioHbr wakuu hivi haya malalamiko ya mr misifa juu ya baadhi ya wasanii kutohudhuria mazishi ya baba yake na kudai kuwa hawamjali na kusisitiza kuwa wengine wanajifanya kumuita brother lakini hawakutokea na kudai kuwa sasa ashajua nani mkweli kwake na nani sio mkweli Je malalamiko yake yana msingi
Source; Amplifaya ya clouds