Dully Alilia mwaliko Harusi ya Ali Kiba

Kaka zetu sijui tuliwakosea nini wanawake wa Tz. Naona ni kuoa nje ya mipaka tuu
Huoni tatizo? wote wamewaparamia kwa zamu huyu akishuka anapanda mwingine, ni kama daladala, nani aweke nuksi ndani? Ndio wajifunze, uzuri una thamani yake, mfano Uwoya kaolewa hapo jirani aliyoyafanya aibu tupu nani mwingine atasogea? Wakiolewa ulaya wanaacha waume ndani wanakwenda Disco hivi me gani atakubali ujinga huu? Ni wachache lakini wanawaharibia na wengine
 
Kwahiyo na wewe hutaoa Tz kwa sababu hiyo?
 
Kwahiyo na wewe hutaoa Tz kwa sababu hiyo?
Mimi ke mkuu, toa umri huo hapo juu hivyo nalea mjukuu, naandika kwa uchungu maana mabinti zetu hawajithamini kabisa yaani hawajaitwa wanaitika, wakiitwa wanavua jamani
 
Hata mimi mambo yakikaa fresh sioi Bongo ***** mademu wabongo wanaliwa kama karanga za Mtaani, kila mtaa ana danga, Demu akirudi kwao kusalimia Inakua mboga ya Mtaa
 
Mimi ke mkuu, toa umri huo hapo juu hivyo nalea mjukuu, naandika kwa uchungu maana mabinti zetu hawajithamini kabisa yaani hawajaitwa wanaitika, wakiitwa wanavua jamani
Sawa mama. Tutabadilika
 
Haya malaika wanaume wa tz!!!
 
Kwa jinsi tulivyo wazaramo hakika Ali Kiba hata akifiwa hatuendi maana harusi kutunyima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…