ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 861
- 1,426
Hamja tukosea ila nikatika kunganisha umoja wa Africa mashariki.Kaka zetu sijui tuliwakosea nini wanawake wa Tz. Naona ni kuoa nje ya mipaka tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamja tukosea ila nikatika kunganisha umoja wa Africa mashariki.Kaka zetu sijui tuliwakosea nini wanawake wa Tz. Naona ni kuoa nje ya mipaka tuu
Huoni tatizo? wote wamewaparamia kwa zamu huyu akishuka anapanda mwingine, ni kama daladala, nani aweke nuksi ndani? Ndio wajifunze, uzuri una thamani yake, mfano Uwoya kaolewa hapo jirani aliyoyafanya aibu tupu nani mwingine atasogea? Wakiolewa ulaya wanaacha waume ndani wanakwenda Disco hivi me gani atakubali ujinga huu? Ni wachache lakini wanawaharibia na wengineKaka zetu sijui tuliwakosea nini wanawake wa Tz. Naona ni kuoa nje ya mipaka tuu
Basi wahamasisheni na shemeji zenu waje huku udugu udumu zaidi. Maana nyie tu ndo mnaenda hukoHamja tukosea ila nikatika kunganisha umoja wa Africa mashariki.
Kwahiyo na wewe hutaoa Tz kwa sababu hiyo?Huoni tatizo? wote wamewaparamia kwa zamu huyu akishuka anapanda mwingine, ni kama daladala, nani aweke nuksi ndani? Ndio wajifunze, uzuri una thamani yake, mfano Uwoya kaolewa hapo jirani aliyoyafanya aibu tupu nani mwingine atasogea? Wakiolewa ulaya wanaacha waume ndani wanakwenda Disco hivi me gani atakubali ujinga huu? Ni wachache lakini wanawaharibia na wengine
Baridi bebiKwani lazima jamanii
Mambo bebiKwahiyo na wewe hutaoa Tz kwa sababu hiyo?
Mimi ke mkuu, toa umri huo hapo juu hivyo nalea mjukuu, naandika kwa uchungu maana mabinti zetu hawajithamini kabisa yaani hawajaitwa wanaitika, wakiitwa wanavua jamaniKwahiyo na wewe hutaoa Tz kwa sababu hiyo?
Sawa mama. TutabadilikaMimi ke mkuu, toa umri huo hapo juu hivyo nalea mjukuu, naandika kwa uchungu maana mabinti zetu hawajithamini kabisa yaani hawajaitwa wanaitika, wakiitwa wanavua jamani
Umeandika kwa hisia na upole sana ila waambie wenzio wabadilike sio bureKaka zetu sijui tuliwakosea nini wanawake wa Tz. Naona ni kuoa nje ya mipaka tuu
Haya malaika wanaume wa tz!!!Huoni tatizo? wote wamewaparamia kwa zamu huyu akishuka anapanda mwingine, ni kama daladala, nani aweke nuksi ndani? Ndio wajifunze, uzuri una thamani yake, mfano Uwoya kaolewa hapo jirani aliyoyafanya aibu tupu nani mwingine atasogea? Wakiolewa ulaya wanaacha waume ndani wanakwenda Disco hivi me gani atakubali ujinga huu? Ni wachache lakini wanawaharibia na wengine