Dully Sykes acha ubaguzi

Dully Sykes acha ubaguzi

Dully wakawaida kuna siku nilikuwa Na wana Pin Point club.DJ kamtambulisha duly alikuwa amekaa kwenye kochi anakunywa na marafiki zake.Siunajuaa machali wa ARA hawa kumake some noise.Sipati picha angeluwa Spack Dawg katambulishwa.Chuga ukijifanya mjuaji watu wanakuvungia.
spark yuko wapi aisee jamaa kitambo sana sijamuona
 
Back
Top Bottom