Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kudos kwa Dully Sykes.Gwiji wa Bongo Fleva, Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz
View attachment 3269447
Soud Brown ni takataka kabisaWakuu
Gwiji wa Bongo Fleva, Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz
View attachment 3269447
Ewaaa, hata mimi nimeshangaa sana, nilitegemea waje na hoja kwamba chidi anasingiziwaMna uhakika wote walio mpongeza duly hapo juu sio mateja?