Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz

Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz

Gwiji wa Bongo Fleva, Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz



View attachment 3269447
Kudos kwa Dully Sykes.

Hii mingese ya clouds imezidi kujikuta wajuaji.

Kuna sehemu yenye all wrong characters kama Clouds. Mateja ya kutosha, makuchu ndio usiseme.
 
Hizo kazi zinasomewa, watu wanajua ethics, saikolojia, falsafa, mambo mengi.

Mtangazaji hajui huu ni ugonjwa, kuna mambo ya faragha za mgonjwa, anatoa tu nyeti.

Sasa haya ni matatizo ya kumpa kazi mtu kwa sababu anapiga domo tu.
 
Twende mbele turudi nyuma ila huyu mwamba wa dar es Salaam stand up anahitaji msaada .
Na msaada sio kumng'ong'a mitandaoni live ni vyema kumface na kumpa msaada.
Nimemuelewa sana dully amemjibu kigentleman.
Dully inabidi naye amsaidie huyo mshkaji wake ilii asiwe anasemwasemwa vibaya
 
Back
Top Bottom