Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz

Watu wapo sahihi, ile ni media sio kijiwe cha wahuni. Kwa mada yao walitakiwa kuongelea issues na sio watu.

Halafu imagine anauliza eti Chid anatumia madawa gani, aaaahhhh swali gani hili mpuuzi huyo
Jamaa ameuliza swali la kijinga sana
 
Kudos kwa Dully Sykes.

Hii mingese ya clouds imezidi kujikuta wajuaji.

Kuna sehemu yenye all wrong characters kama Clouds. Mateja ya kutosha, makuchu ndio usiseme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Makuchu" hili neno kuna mtu alikua analipenda sanaa,
Nikaja kujua maana yake, nlichoka.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Daa! Kiukwelli,Chidi anateseka kweli na sio mtu wa kuchekwa. Alkuwa role model wangu hususan kwenye interview zake yuko real sana.
Pamoja na hali aliyonayo still anatema nondo kuliko mamia kwa maelf ya machawa.
 
Safi sana. Hebu fikiria Dully angesapot huo ujinga wa huyo chawa wa Clouds halafu baadae akutane na Chid huko kitaa angeficha wapi uso wake?
Umeonaee! au swali la namba hiyo angeulzwa chidi face to face studio pakechafuka.
 
Mkuu mbona dully kajibu vzuri tuu, hivi unadhan ingekuwa huko states mtu kama 50 swali kama hilo, sudi sngechezea mazafaka,asihol, pisi of shits za kutosha.
 
Ivi unajua uchungu wa kuulizwa maswali ya kijinga kuhusu your big homie...
Chidi anapitia anayopita it's right..ila chidi binadam sana na kasaidia wasanii wengi sana kipindi Yuko sawa na yuko kwenye peak yake,
Ao wapumbav wa clouds ndo walifanya fitna nyingi kumshusha Leo mtu anauliza swali kinafki nafki..
 
Kitendo cha Dully kumwita Sudy 'pumbavu' nalo tuliangalie.

Ningekuwa na mamlaka wote ningewapandisha kizimbani.
 
Kama hili swala lilikwisha ongelewa na Chid mwenyewe bila shaka aliweka wazi madawa yaliyomdhuru, sasa kulikuwa na nia gani kumuuliza Dully madawa aliyotumia Chid Benz? The announcer’s question was intentional to OUT Dully !!
 
Yes kuna maswali ya maudhi lakini inabidi upige kifua kuyakabili kisomi ,kwani alivyomjibu mwanzo sijui mbona lilikuwa jibu zuri tu? <aswali ya Kiwaki unajibu kiwaki vile vile ...ANgemwambia tu kwamba ili swali ilipaswaa ajibu Chid Benz mwenyewe ,akiendelea unajibu no comment...no comment mpaka aswitch mada.
 
Jinsi Dully amejibu ni kama hiko kitu kimemkwaza muda mrefu sana... unajua ukikua unagundua Hakuna haja ya kumcheka mtu jambo kisa ww hufanyi hivyo ni aina fulani ya utoto kama sio upumbavu! Na hawa wanahabari uchwara wamezoea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…