Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Jamaa ameuliza swali la kijinga sanaWatu wapo sahihi, ile ni media sio kijiwe cha wahuni. Kwa mada yao walitakiwa kuongelea issues na sio watu.
Halafu imagine anauliza eti Chid anatumia madawa gani, aaaahhhh swali gani hili mpuuzi huyo