Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz

Jinsi Dully amejibu ni kama hiko kitu kimemkwaza muda mrefu sana... unajua ukikua unagundua Hakuna haja ya kumcheka mtu jambo kisa ww hufanyi hivyo ni aina fulani ya utoto kama sio upumbavu! Na hawa wanahabari uchwara wamezoea sana
soudy ana upumbavu flani ambapo watu kama hao wapo
 
Nliskia Chidibenz amepelekwa tena sober, Mara ya mwisho namuona Msasani Maandazi road, hali yake ilikua mbaya sana
usimamiz baada ya kutoka sober ni duni , anarud kuish na watu wale wale ambao ni wahanga wa madawa na lzm aishi kama wao ili ale ugali
 
ni mpumbav sio utani ,
Kitendo cha Dully kumwita Sudy 'pumbavu' nalo tuliangalie.

Ningekuwa na mamlaka wote ningewapandisha kizimbani.
hapo alitaka kumuingiza Dully kwenye matatizo , baada ya interview angeitwa polisi kumalizia ushahidi wake dhidi ya Chid , usisahau taifa halitambui katumiz ya bangi kisheria
 
Mkuu Kuna Vitu vinakuja t kichwani unaona mtu anakuuliza swali hewani kinafki kuhusu mtu wako wa karibu na unajua huyu mnafki,dully kajikaza sana kumuita t mpumbav otherwise ilibidi ampe kubwa Yani na interview iishie pale
 
Jinsi Dully amejibu ni kama hiko kitu kimemkwaza muda mrefu sana... unajua ukikua unagundua Hakuna haja ya kumcheka mtu jambo kisa ww hufanyi hivyo ni aina fulani ya utoto kama sio upumbavu! Na hawa wanahabari uchwara wamezoea sana
Alitakiwa hata amkate makonde
 
Ila nadhani pia kuna baadhi ya koo zina genes za tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…