Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 354
- 372
soudy ana upumbavu flani ambapo watu kama hao wapoJinsi Dully amejibu ni kama hiko kitu kimemkwaza muda mrefu sana... unajua ukikua unagundua Hakuna haja ya kumcheka mtu jambo kisa ww hufanyi hivyo ni aina fulani ya utoto kama sio upumbavu! Na hawa wanahabari uchwara wamezoea sana