Dully Sykes ana mchango mkubwa wa Harmonize kujitoa Wasafi

WATCH (TIZAMA KILA HATUA ZAKE TANGU SASA) LEARN (JIFUNZE ,HAIMAANISHI MIMI NTAKUWA SAHIHI ILA UTAJIFUNZA AFTER WATCHNG ),NO HARD FEELINGS BUDDY

Kwa hiyo huna uhakika na ulichokiandika?,manake mpaka sasa kutoka kwa Harmonize WCB kuna threads zaidi ya 20 kila moja inazungumza kivyake,ila nimekwambia MUDA UTAONGEA,thread yako tunayo.
 
Sioni sababu kwa nini watu wa diamond wanapanic sana
Hii ni fursa ya kumkimbiza.diamond juu,alishabweteka kwa kukosa mpinzani
Kiba ana stress za kumnunulia mke nyumba,halafu kaanza vituko achukue nyumba
 
Kwa hiyo huna uhakika na ulichokiandika?,manake mpaka sasa kutoka kwa Harmonize WCB kuna threads zaidi ya 20 kila moja inazungumza kivyake,ila nimekwambia MUDA UTAONGEA,thread yako tunayo.
USIJALI NA COMMENT ZAKO ZIPO ANAMALIZIA COLLABLE MPYA NA INGINE NA DULLYSYKES
 
hata diamond wakati anaondoka sharobaro record, mlisema hivi hivi, Leo ni mwaka wa kumi huu na hajawai kushuka. Hata master J nae alimtabilia harmonise Kama mlivyomtabiria lakini leo aibu anaona yeye. Kila mtu dunian ana kipawa chake alichojaaliwa na Mungu. Si rahisi kwa mwanadamu kumtabiria maisha mwenzake. Alafu historia inaonyesha mafaanikio ya mwanadamu hayategemei unatokea familia ya namna gani au una elimu kiasi gani. Mafaanikio ni kipaji Kama vipaji vyengine tu.
 
Ukweli mchungu ni kuwa harmonize kwisha habar yake ,unajua kwenye hzi harakat za kujitoa angekaa kimya Kwanza bila kutoa Ngoma hata miez minne, lakn Tangu seke seke lianze ametoa nyimbo kibao na zote ametumbukia , hata akitoa Ngoma Kali itazimika mapema tuu, right decision but wrong timing
 
Waswahili wanachosahau wanadhan harmonize ana pesa ya chai na mkate

Dogo kajipanga nadhan hata akishuka kimuziki fedha ipo zoom production ana share zake pale usimchukulie poaw

Usione wale mameneja wanajichekesha kwamba dogo kaondoka kwa heri hakuna shida ila ukwel n dogo pesa ipo na hawez kufa njaa
 
anapesa kuliko alivyokuwa mr nice?
 
Mipango siyo matumizi... mambo yake muacheni mwenyewe... Dully ni mzee wa kung'ata na kupuliza...


Cc: mahondaw
 
are you into drugs?
 
!
!
kwanza umeandika likitu lireefu halafu unampatia mtu lawama zisizo na msingi. Kupanda au kuanguka kwa msanii ni zao la maamuzi yake mwenyewe
 
Game lilishaanza kupoa, acheni sasa lichangamke kidogo.

WCB walishaanza kukosa mshindani, until now.

Si mmeona hata Clouds FM wamelazimika kucopy studio design ya Wasafi FM?
 
Game lilishaanza kupoa, acheni sasa lichangamke kidogo.

WCB walishaanza kukosa mshindani, until now.

Si mmeona hata Clouds FM wamelazimika kucopy studio design ya Wasafi FM?
Nakuelewa mkuu bila madrama mambo hayaendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…