Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Sijawahi nyimbo yake nayoijua ni kwangaru tuMkuuu hapa umemponda Harmonize kwa sababu unamchukia Magu,ila inavyoonyesha unamkubali sana Monde boy.
Cc: Rich Mavoko.hata diamond wakati anaondoka sharobaro record, mlisema hivi hivi, Leo ni mwaka wa kumi huu na hajawai kushuka. Hata master J nae alimtabilia harmonise Kama mlivyomtabiria lakini leo aibu anaona yeye. Kila mtu dunian ana kipawa chake alichojaaliwa na Mungu. Si rahisi kwa mwanadamu kumtabiria maisha mwenzake. Alafu historia inaonyesha mafaanikio ya mwanadamu hayategemei unatokea familia ya namna gani au una elimu kiasi gani. Mafaanikio ni kipaji Kama vipaji vyengine tu.
Kabla hawajamfikisha hapo pa kupata hiyo 3m hata elfu tano hakuwa akiipata, simuombei mabaya na inawezekana akawa ameitumia WCB kama daraja hivyo akaendelea kupaa lakini probable chances za kuwa atapote japo si karibuni ni kubwa zaidi kwa ninavyoona.Mnajifanya hamjui kinachoendelea..Fela,Salam na Tale wanatoka vitambi kwa kazi za madogo..unapiga kazi ya 10m unapewa 3m..bora kusepa tu na Ana back up ya Sara
Vanny na Harmo kwa mimi namchagua Vanny, from word go.Huyo Vanny,Diamond katumia nguvu nying kumpeleka mbele lakin wap,Vanny nyota mbovu yule,ili apate hit lzm apge ft na Boss wake,inshort hamna kitu pale.
Kama ilivyo kwa biashara yoyote, unawekeza muda, pesa, energy na maarifa ili baadaye ikulipe.nia ni kukuza vipaji na kujipatia pesa kupitia hao wasanii.
Binafsi pia namkubali sana Vanny japo sioni kama yeye binafsi ana ndoto za kufika mbali na kutoboa kimataifa. Naona kama ameridhika kuwa hapo alipoVanny na Harmo kwa mimi namchagua Vanny, from word go.
Hapo kila mtu yuko entitled kuwa na maoni yake lakini Harmo atahit kibongobongo tu ila internationally hawezi kabisa, Vanny ana test flani ambayo inakuwa easy kwake kutoboa kimataifa.
Soko la kimataifa na local ni vitu tofauti kabisa, utapiga hata kolabo lakini kama test yako haifanani na soko la kimataifa linavyotaka utaishi kusifiwa mashairi/sauti tu na kina Mwajuma wa Mwananyamala.
mr nice naye alikuwa na pesa...?anapesa kuliko alivyokuwa mr nice?
Yes kwa miaka hiyo nice alikuwa na mkwanja wa kutosha hadi hela alikuwa anaziweka kwenye buti LA gari alikuwa level moja na akina chameleonemr nice naye alikuwa na pesa...?
all in all horminize anapesa na amewekeza sehemu mbalimbali
mkuu mungu ni wa ajabu sana, humbarikia zaidi na zaidi unaemchukia na kumtakia mabaya ili daily uzidiNampa Big up sana Dully sykes ametoa wimbo mzuri sana na Maua Sama - Naanzaje ,amenikumbusha yule Dully aliyetikisa miaka ya 2000's wa Julietha ,akifanya miziki kama hii hakika atafunika wakina flani na flani wanaoijiona wameteka soko la muziki....siwataji hao flani maana misukule yao ipo macho kodo na tecno zao.
Lakini mrefu kuliko rayvan nyegezi[emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]Mfupi kama korosho
Mbona bado ila time itaongea ndio kwanza mwaka mimi nitaongea mwakani.Ila ww unaweza ukaanza kuchunguza idadi ya shows anazozipata kupitia mapromota,streaming na mauzo kupitia digital platforms,nominations na tuzo,hivi vitaongea ila mwisho wa siku msiseme anabaniwa sababu media zote za burudani zinampa air time.kaka vipi muda huu unaendeleaje utabili wangu ?hahahahaha
Mwaka sasa ush
Mbona bado ila time itaongea ndio kwanza mwaka mimi nitaongea mwakani.Ila ww unaweza ukaanza kuchunguza idadi ya shows anazozipata kupitia mapromota,streaming na mauzo kupitia digital platforms,nominations na tuzo,hivi vitaongea ila mwisho wa siku msiseme anabaniwa sababu media zote za burudani zinampviewers wake wamepungua by far percentage yuko chini ya mboso rayvan na zuchu