Dully Sykes awa mkali baada ya kuulizwa kuhusu bifu la Ommy Dimpoz na Diamond

Dully Sykes awa mkali baada ya kuulizwa kuhusu bifu la Ommy Dimpoz na Diamond

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Dully sykes alimind watangazaji waliokuwa wanamhoji baada ya kumuuliza kuhusu bifu la diamond na ommy dimpoz
Dully amesema hawezi kujibu hilo sababu huo ni u-shilawadu na yeye hapendi na ukizingatia wale ni 'wadogo zake'

 
Alipasa kuwajibu acheni maswali ya kingese.
 
Back
Top Bottom