Wote walikaza sana, ila dully kiboko japo alipambana na vijana wenye mitindo mipya ya kurap ila aliwakilisha vema. Hii collaboration inanikumbusha wimbo unaitwa NILIKATAA kutoka top band, TID, QChief ft Byser
Daah Joslin huyu jamaa ana mtindo fulan hivi matata sana anapo flow.
Mr blue aliweka mbwembe nyingi mnoo.
Ila ilikuwa ngoma kali Sana.
Dully humu mimi naona alifunikwa japo alijitahidi sana.
Ila yote tuseme lakini baba lao ilikuwa ni ile beat yake daah.
Kumbe kuna madogo wengi sana humu au unatania mkuu.Mbona siifahamu Hii nyimbo? Imetoka Lini mkuu?
Kumbe kuna madogo wengi sana humu au unatania mkuu.
Ndio mzee babaEeeeh bwana eeeh si Ile inaitwa Utamu Utamu kitu kama hicho.
Kama unayo tupia hapaHii ngoma Kali kinoma kama dhahabu tu. Inaitwa utamu, aka utamu wa mashine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu hyo si nyimbo tu. Naamini pia Kuna nyimbo zimetoka mwaka huo 2006 pia km binadamu huzifahamu 😅😅Kumbe kuna madogo wengi sana humu au unatania mkuu.
Saana yani, hii ngoma ilikuwa kali Sana kwenye biti hapo Master J ameitendea haki kabisaa.Producers wa zamani walijua kupika mziki
Ndio mzee baba
Hio hio
Kweli Ila sio kwa hii mkuu, mana ilikuwa kama nyimbo ya taifa vile yani.Sasa mkuu hyo si nyimbo tu. Naamini pia Kuna nyimbo zimetoka mwaka huo 2006 pia km binadamu huzifahamu 😅😅
Eh imebidi niulize mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii verse Bluu alitishaU-lonely tena bye, mi nafurahi
Niko stimu za mjani, kichwani niko high
Namuona manzi maskani, yuko so fly
Mi nawahi, najigeuza Dully namfuata nampa hi
Nimeshaini kama Mully, kadata mtoto hakatai
(Heheh heheh)
Anang'aa kama gold (yeah, yeah)
Yeah, yeah, yeo-yeoh yeoh, yeo-yeoh
Anaita kama bling thing
Kama dhahabu, amefika kwa king
Queen wa Kheri Rajabu
Anakila sababu, asipate tabu
Nimezimika ajabu (sana tu)
Heheh
Yeoh, hapendi pesa, hapendi show
Ye anampenda Blue
Washamteta hasemi no
Ye anaona fool
Ndo mama Kabyser ajulikana mpaka kwetu
Steve unataka kumjua?
Master J twenzetu
Mr atabaki kua underrated heavyweight mc everWote walikaza sana, ila dully kiboko japo alipambana na vijana wenye mitindo mipya ya kurap ila aliwakilisha vema. Hii collaboration inanikumbusha wimbo unaitwa NILIKATAA kutoka top band, TID, QChief ft Byser
Wote walikaza sana, ila dully kiboko japo alipambana na vijana wenye mitindo mipya ya kurap ila aliwakilisha vema. Hii collaboration inanikumbusha wimbo unaitwa NILIKATAA kutoka top band, TID, QChief ft Byser
Huu wimbo Blue aliwafunika wote japo napenda TID anavyoteleza na sauti!
Enzi zake Blue ukimpa kolabo ukienda vibaya wimbo unakuwa wake! Sijui kwa sasa