Dully Sykes-DHAHABU /Joselini v/s mr blue

Hebu muelewe Mkuu mwaka huo anasema alikuwa chekechea makorora Tanga huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote walikaza sana, ila dully kiboko japo alipambana na vijana wenye mitindo mipya ya kurap ila aliwakilisha vema. Hii collaboration inanikumbusha wimbo unaitwa NILIKATAA kutoka top band, TID, QChief ft Byser
Aliogopa kumezwa akapiga verse mbili +chorus ndio akaenda nao sawa. Kimahesabu alimezwa ila ni nani alimeza wengine mi sijui!
 
Hiyo Kariakoo alivyotamkwa kweli vijamaa vilikuwa visharobaro[emoji2]
 
Kwani kwenye ngoma ya NIPE TANO ya Daz Baba nani alifunika!? Sorry japo nipo nje ya mada. Ila kwenye mada hii nimeshachangia
 
Umetisha sana......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…