Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,107
- 1,056
kivipi?Ushabiki maandazi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kivipi?Ushabiki maandazi huu
Anyway, BAKI NA K, MI NABAKI NA MONDIKuimba na R Kelly kisha kupotea isiwe kigezo cha kujiaminisha uongo.
Kwa taarifa yako tuu katika wale wanamuziki walioshiriki ile project hakuna ambaye hakuwa na wazo walau la kufanya wimbo mmoja na R Kelly lakini hakuna aliyefanikiwa kwanza ni ratiba ya mwanamuziki pili na kikubwa ilikuwa pesa..
Hata hivyo hiyo kollabo isingekuwa na nguvu labda ingekuwa kwa 2face na R Kelly kwani alikuwa amefanikiwa kuiteka Afrika hivyo ngoma yake ingemfungulia milango nje ya Afrika lakini mtu kama Ally ndo kwanza alikuwa anahangaika kujihakikishia utawala Afrika Mashariki.
Kusini hawajamwelewa, Magharibi hawamjui , Afrika ya kati hawamtambui...
Kumbuka hapo ' social media' bado hazina nguvu ya kumbeba mwanamuziki.
Wakapanga kufanya muziki baina yao ili kuongeza ushawishi kwenye nchi za wenzao.Ilifanikiwa Fally na Ally japo haikutoka.
2face akawa bussy na matamasha huku na huko, Aman na Redsun wakawa mwendo kinyonga yule Mkameruni na wenzake ndo tukawasahau kabisa kwani njia za kuwafuatilia wanamuziki zilikuwa finyu zaidi ya redio na Tv ambazo bado zilikuwa za kitaifa.
Alikiba akapotea kwa miezi si chini ya 10(si miaka mitatu kama anavyodai) kwani My everthing ilitoka 2013 machi na 2014 july akatoa Mwana.
Huku akiendelea kushirikishwa na wanamuziki wachanga mashabiki wake wakataka aimbe wimbo wake na hatimaye akaiachia rasmi Mwana(kumbuka kimasomaso ni project ya Kusaga kama sijasahau, wanamuziki kuzirudia nyimbo za zamani kisasa wimbo mwingine katika project hiyo ulikuwa Yalaiti ya Mwana Fa na Linah).
Matokeo ya mwana wengi mliyaona na ikaja kuwa njia ya Ally kufika alipo huku nyimbo zake zikiongea zaidi...
Wenzake wa one 8 najua tunajua walipo...
Hivyo tusipotoshane kuhusu sijui one 8 sijui hakuitumia vyema lakini ukweli ni kwamba ameweza kutamba nyakati zote tangu hatuijui Instagram hadi leo tuna snapchart Alikiba ameweza kwenda navyo ingaws kutokana na kuwa wa zama zile amejikuta akishindwa kwenda na kasi juu ya matumizi ya ' socia media'....
Kongole kwa Alikiba , amefanya kilichowashinda wengi wa zama zake.
Unaandika sana lakini humake point kabisa. Embu andika sentensi tatu tatu labda utakua clear.Kuimba na R Kelly kisha kupotea isiwe kigezo cha kujiaminisha uongo.

mie nawashabikia wote siwezi kujinyima uhuruAnyway, BAKI NA K, MI NABAKI NA MONDI
Huna akili simple n clearyani kiba akubali kupatanishwa na mondi!! atakula wapi?! kiba hawezi kukubali hiko kitu, mondi ndo anamuweka jamaa mjini, kama si mondi tungekuwa tumeshamsahau jamaaa!
Miaka kama miwili nyuma hivi Ally kiba aliishatolea ufafanuzi kuhusu bifu lao, kwa maelezo zaidi search Youtube ( Alikiba in mkasi , 2 years agoSamahani , nani anaweza kuelezea kwa ufupi asili ya bifu la hawa wasanii wetu wakubwa Tanzania ?
Yaani tokea 2010; mpaka Leo 2017 bado unashabikia tu Ali na diamond? Hongera!Kuimba na R Kelly kisha kupotea isiwe kigezo cha kujiaminisha uongo.
Kwa taarifa yako tuu katika wale wanamuziki walioshiriki ile project hakuna ambaye hakuwa na wazo walau la kufanya wimbo mmoja na R Kelly lakini hakuna aliyefanikiwa kwanza ni ratiba ya mwanamuziki pili na kikubwa ilikuwa pesa..
Hata hivyo hiyo kollabo isingekuwa na nguvu labda ingekuwa kwa 2face na R Kelly kwani alikuwa amefanikiwa kuiteka Afrika hivyo ngoma yake ingemfungulia milango nje ya Afrika lakini mtu kama Ally ndo kwanza alikuwa anahangaika kujihakikishia utawala Afrika Mashariki.
Kusini hawajamwelewa, Magharibi hawamjui , Afrika ya kati hawamtambui...
Kumbuka hapo ' social media' bado hazina nguvu ya kumbeba mwanamuziki.
Wakapanga kufanya muziki baina yao ili kuongeza ushawishi kwenye nchi za wenzao.Ilifanikiwa Fally na Ally japo haikutoka.
2face akawa bussy na matamasha huku na huko, Aman na Redsun wakawa mwendo kinyonga yule Mkameruni na wenzake ndo tukawasahau kabisa kwani njia za kuwafuatilia wanamuziki zilikuwa finyu zaidi ya redio na Tv ambazo bado zilikuwa za kitaifa.
Alikiba akapotea kwa miezi si chini ya 10(si miaka mitatu kama anavyodai) kwani My everthing ilitoka 2013 machi na 2014 july akatoa Mwana.
Huku akiendelea kushirikishwa na wanamuziki wachanga mashabiki wake wakataka aimbe wimbo wake na hatimaye akaiachia rasmi Mwana(kumbuka kimasomaso ni project ya Kusaga kama sijasahau, wanamuziki kuzirudia nyimbo za zamani kisasa wimbo mwingine katika project hiyo ulikuwa Yalaiti ya Mwana Fa na Linah).
Matokeo ya mwana wengi mliyaona na ikaja kuwa njia ya Ally kufika alipo huku nyimbo zake zikiongea zaidi...
Wenzake wa one 8 najua tunajua walipo...
Hivyo tusipotoshane kuhusu sijui one 8 sijui hakuitumia vyema lakini ukweli ni kwamba ameweza kutamba nyakati zote tangu hatuijui Instagram hadi leo tuna snapchart Alikiba ameweza kwenda navyo ingaws kutokana na kuwa wa zama zile amejikuta akishindwa kwenda na kasi juu ya matumizi ya ' socia media'....
Kongole kwa Alikiba , amefanya kilichowashinda wengi wa zama zake.
Na wengine nawashabikia lakini kwa kifupi hawa wamekiwa wakitoa ngoma kali zaidi ya wengiYaani tokea 2010; mpaka Leo 2017 bado unashabikia tu Ali na diamond? Hongera!
Akili ndogo nani aliyeanza kutoka kimuziki? Kwanza unalijua ilo? Inaelekea mziki umeanza kuujua Jana ngoja nikukumbushe nyimbo za alikiba kabla mondi hajatoka alafu ulinganishe na ulichokiandika,kuna nyimbo kama,mpenz yanalaani dunia,duu shelele,maki muga,sinderela,njiwa, zipo nyingi sana izo ni baathi tu kilichomkost uyuu kiba kuna kipindi alikaa kimya bila kufanya mziki anarudi anakuta mambo yamebadilika na mond kashafika mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania bana,yaani God katunyima kila kitu mpaka na akili zetu zimedumaa,yaani kwa mfano beef la Diamond na Kiba linamsaidia vipi Daimond? Level ya Kiba,Diamond keshaipita sana.Ma beef ya Diamond yanatakiwa yawe na magwiji wa Afrika akina Davido etc sio Kiba type ambaye anaungaunga music ili mradi tu