Dully Sykes: Haiwezekani kuwapatanisha Diamond na Ali Kiba kwa sasa, wote wamelewa sifa

Anyway, BAKI NA K, MI NABAKI NA MONDI
 
Unaandika sana lakini humake point kabisa. Embu andika sentensi tatu tatu labda utakua clear.
 
Wawaache tu. Ugomvi wenyewe upo kiushindani zaidi, na so far una faida kubwa kuliko hasara. Ali Kiba anafaidika zaidi.

In most senses, hii beef inafanana na Jay-Z vs Nas. Diamond the former.
 
Kwani wamegombana lini mpaka aseme kuwapatanisha ni ngumu kwa sasa..?
 
Samahani , nani anaweza kuelezea kwa ufupi asili ya bifu la hawa wasanii wetu wakubwa Tanzania ?
Miaka kama miwili nyuma hivi Ally kiba aliishatolea ufafanuzi kuhusu bifu lao, kwa maelezo zaidi search Youtube ( Alikiba in mkasi , 2 years ago
 
Yaani tokea 2010; mpaka Leo 2017 bado unashabikia tu Ali na diamond? Hongera!
 
Ugomvi umeongezeka baada ya kiba kurudishwa kinguvu kwenye game baada ya kukaa mafichoni takribani 3 years na kapewa jina la King kiba! Na kuzaliwa team kiba na team mondi, kiba wakiongozwa na joketi na wema sepetu, na hao wote ni watalaka wa mondi hapo ndio shida ilipo!
 

Mbona Prof Jay katoka kuanzia 99 uko lakini hafati mziki wa Diamond? Ali Kiba anamtegemea Diamond sana na kam sio Diamond uyo Kiba asingerudi kwenye mziki.
 
Watanzania bana,yaani God katunyima kila kitu mpaka na akili zetu zimedumaa,yaani kwa mfano beef la Diamond na Kiba linamsaidia vipi Daimond? Level ya Kiba,Diamond keshaipita sana.Ma beef ya Diamond yanatakiwa yawe na magwiji wa Afrika akina Davido etc sio Kiba type ambaye anaungaunga music ili mradi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…