Dully Sykes, Sema lolote kuhusu huyu Brother.

Dully Sykes, Sema lolote kuhusu huyu Brother.

Mbana pua pekee aliyekubalika kwa kubana pua.
Huyo hiyo ndo sauti yake ilivyo, tafuta Salome

Huwa napenda swagger zake anapojitambulisha pale wimbo wake unapoanza bila kusahau na vionjo vyake,

Hakika amebaki na style yake peke yake kama Ali Kiba na kionjo chake cha Yoo
 
Bhwoke!!!

".... 'Paparazzi wananisaka kama Lulu kwenye vyombo 400 waniuze"

"Kina dada wananipenda nashukuru mpaka mama anaomba mpunguzee...."

Action-CPwaa ft Ms.Triniti,Ngwear n Dully Sykes
 
Back
Top Bottom