Dully Sykes siku nyingine ukipewa nafasi fanya kazi uliyotumwa

kabingo

Senior Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
115
Reaction score
118
Kwanza nafurahi kuona baadhi ya wasanii wakianza kujitambua kwenye event kama ya jana wengi walivaa vizuri tofauti na huko nyuma. Kilichonikera nikitendo cha Dully Sykes kuitwa kutangaza tuzo tena akiwa amepangwa na mtu mwenye heshima zake.

Kufika stageni badala ya kutulia anaanza kuimba na kutangaza biashara ya kuuza nyimbo za wasanii pale sio mahara pake, na Tabia ya kutafuna tafuna hivi huwa hamuoni aibu mbele za watu dune zima unatafuna tafuna?

Ukipewa heshima itumie vizuri.
 
Halafu km alikuwa amekurupuka vile maana alitaka kurukia kutaja mshindi bila kutaja nominees.
 
Kwa bwana Mauzo kama mimi, huwezi kuiacha halaiki kubwa namna hiyo ipite hivi hivi bila kuchomkea mauzo... maybe the only problem inaweza ikawa hakuwa na opening mzuri (sijaangalia hicho kipindi)... professional sales person, angeanza na opening as if anaongelea tuzo huku akitafuta phrases zitakazokidhi kuchomokea mauzo!!!

Sasa unaacha vipi kutumia fursa kama hiyo wakati ujaji wake ni wa nadra?! Look, at a blink, umeleta post hapa... that's how sales work!!!
 
Muhesimu Dully.. we mtoto wa 2000nds......

Dully ni Legend.
 
dully alikuwa sahihi yeye ni balozi wa Afrika song na Afrika song ni mmoja wa wadhamini wa EATV AWARD 2016.
labda uniambie hakupaswa kuanza kuimba imba ila kuitangaza kampuni alikuwa sahihi maana hata markrting manager wa Barclays bank alifanya vile.
 
Sasa kama ananuka mdomo asitafune PK?
 
Mr.Misifa Mwanaserere hizo ndio Nickname zake unaanzaje kushangazwa na tabia zake?!
 
Kwa uelewa wangu dully alienda pale kama balozi wa hiyo kampuni ya uuzaji nyimbo za wasanii (siikumbuki jina) ile kampuni ilikuwa ni moja ya wadhamini wa zile tuzo hivyo anahaki ya kutangaza kazi ya kampuni ile (JAPO DULLY SIMPENDI ILA NIMEJIBU [emoji35] [emoji35] [emoji35] )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…