kabingo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 115
- 118
Kwanza nafurahi kuona baadhi ya wasanii wakianza kujitambua kwenye event kama ya jana wengi walivaa vizuri tofauti na huko nyuma. Kilichonikera nikitendo cha Dully Sykes kuitwa kutangaza tuzo tena akiwa amepangwa na mtu mwenye heshima zake.
Kufika stageni badala ya kutulia anaanza kuimba na kutangaza biashara ya kuuza nyimbo za wasanii pale sio mahara pake, na Tabia ya kutafuna tafuna hivi huwa hamuoni aibu mbele za watu dune zima unatafuna tafuna?
Ukipewa heshima itumie vizuri.