BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Dah, na kiwanja kilikuwa kishatolewa kwa ajili ya ujenzi, nasikia mtukufu Aga Khan alitoa msaada wakeBale...
Sababu ya kupigwa marufuku EAMWS ni kule kutaka kujenga Chuo Kikuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, na kiwanja kilikuwa kishatolewa kwa ajili ya ujenzi, nasikia mtukufu Aga Khan alitoa msaada wakeBale...
Sababu ya kupigwa marufuku EAMWS ni kule kutaka kujenga Chuo Kikuu.
Eyce,Mambo ya kawaida au yasiyo ya kawaida kwa mtazamo upi,
Haya watu wanaokuulizia ili wapate majibu zaidi kwa kuona habari haijakamilika au yale ambayo yapo nje ya interest zako???....
Mfano, Lifestyle yake "Ebe" ukiilinganisha na background yake, inampa kila mtu shauku ya kutaka kumjua zaidi na kwa sababu ni mtu unayemjua zaidi, ni rahisi wewe kumuelezea kuliko kijana wake ambaye umekiri haumjui kwa ile personal level na hata story uliyoitoa inathibitisha hilo
Kumbuka huwezi muongelea Michael Jackson, Janeth Jackson au Jackson 5 bila kumtaja baba yao Joe Jackson
Au whitney Houston bila mama yake Cissy Houston
Itakuwa kwa dully ambaye baba yake alikuwa na interest na muziki directly, honi pengine ukimuongelea itatupa picha halisi ya asili ya kimuziki ya Dully sykes ??..
Bal...Dah, na kiwanja kilikuwa kishatolewa kwa ajili ya ujenzi, nasikia mtukufu Aga Khan alitoa msaada wake
Likud,Mzee Mohamed Said umezaliwa mwaka 1950? Kama ndio basi umezaliwa mwaka mmoja na baba angu mzazi. Shikamoo Uncle
Log...Aisee; Kwahio heading; Ujumbe na mjadala mzima ni kuhusu mtu usiyemfahamu bali mama yake ? Sasa hii tukisema ni Click Bait tutakuwa tumekuonea ?
Ninamiss sana enzi ambapo heading tu inakuwa imekuelewesha nini kilichomo na sio heading (kichwa) na kiwiliwili (content) ni Mafuta na Maji
🤣🤣🤣🤣Likud,
Nimezaliwa 1952.
Marahaba.
Naam wewe ni mwanangu na nyote hapa wengi ni wanangu.
Watoto wenu ndiyo mimi wa kuniita babu.
Ukiwa una mtoto wa kike jua huyo ni mchumba wangu.
Wala sijakasirika Mzee wangu Story yako ni nzuri tu ila naonglea Jibu ulilompa Mdau alivyokuuliza kuhusu Dully (Main Heading ya Habari yako) na wewe ukasema haumfahamu hii ikanikumbusha hii kansa iliyotapakaa kwenye maandiko ya siku hizi.., nikakumbuka enzi za Heading tu kuweka kukupa abstract ya habari nzima... (The good old days)Log...
Nilikuwa sijui "click bait."
Ahsante umenifunza kitu kipya.
Sijui ni kipi kimekuudhi.
Wengi waliosoma makala hayo wameipenda.
Lakini bahati mbaya wewe umeiona ina kasoro katika kichwa chake.
Makala yote ulochoona ni hilo.
Log...Wala sijakasirika Mzee wangu Story yako ni nzuri tu ila naonglea Jibu ulilompa Mdau alivyokuuliza kuhusu Dully (Main Heading ya Habari yako) na wewe ukasema haumfahamu hii ikanikumbusha hii kansa iliyotapakaa kwenye maandiko ya siku hizi.., nikakumbuka enzi za Heading tu kuweka kukupa abstract ya habari nzima... (The good old days)
Lakini Kuna hotuba ya Nyerere akihutubia kama mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa chuo hili.Niliwahi isikilize TBC taifa Katika Wosia wa baba.Dah, na kiwanja kilikuwa kishatolewa kwa ajili ya ujenzi, nasikia mtukufu Aga Khan alitoa msaada wake
Bali...Lakini Kuna hotuba ya Nyerere akihutubia kama mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa chuo hili.Niliwahi isikilize TBC taifa Katika Wosia wa baba.
Mimi pia nilishangaa uzinduzi wakati sikuwa kukiona na wala kusikia kilipo.Hii hotuba Kuna siku waliirusha.Kuna hotuba nyingine pia Nyerere anasema visiwa hivi viwili vitatusumbua sana kama ningeweza ningevisukumia mbali baharini.Nayo niliisikia mara Moja tu.Bali...
Sidhani kama hotuba hiyo ipo kwani iliharibiwa pale pale uwanjani siku ya kuweka jiwe la msingi.
Kisa kirefu kinahitaji muda kukieleza.
Wewe unazumgumza uzinduzi wa chuo.
Hapakuwa na chuo cha kuzinduliwa.