INAUZWA Dumbbells zinauzwa

INAUZWA Dumbbells zinauzwa

gasgas

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
1,092
Reaction score
986
Habari za jioni mabibi na mabwana. Matumaini yangu mko salama salmin.

Ninaleta kwenu hizi dumbbells zangu ninazoziuza.

Sifa:
1. Ni pair moja ya dumbbells branded

2. Ni adjustable, unaweza ukaongeza au kupunguza plates hadi kufikia uzito unaotaka

3. Zimetumika kama 6 months hivi

4. Inakuja na plate 8 za 2.5 kg each

5 . Pia inakuja na plate 2 za 1.75 kg

6. Na plate 2 za 1.25 kg

7. Zote hizi unaweza ukaziweka au kutoa kulingana na uzito unaotaka na zoezi unalokwenda kufanya

Sababu ya kuuza: Hazipo kwenye mipango yangu ya sasa kwa upande wa mazoezi

Napatikana: Sinza A

Bei: 150,000

Mawasiliano: Nicheki Pm tukubaliane na kupanga siku ya kuja kununua

Picha:
20200418_174125.jpeg
20200418_174125.jpeg
20200418_174104.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom