chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Wanaoumia ni wavivu wasiotaka kujishughulisha. Fursa zipo nyingi,ufanye kazi ili uweze kujikimu.
Nami ningependa kufahamu. Nitanunua cement soon nitajioneaCement saivi mpaka 15,500 sasa huko inapouzwa 24,000 ndio sijui ni maeneo gani
Gharama za maisha zinapanda duniani kote. Hilo suala la mafuta na saruji imeshaongelea na inashughulikia kuweka mambo sawa, serikali haiwezi kuja kukulisha inachoweza kufanya ni kukupa fursa ili ujikimu. Kama ni mvivu utaendelea kulia eti maisha magumu huku wenzio tunaona maisha ni kawaida tu.Achana na mambo ya fursa kaka tuzungumzie gharama za maisha kupanda alafu serikali ya wanyonge ipo kmy nini maana yake ndio CCM mbele kwa mbele na tumeitaka wenyewe acha ushabiki wa kijinga
Hata sukari bei ni ya hovyo huu ni mwaka wa nne serikali inashughulikia mpaka imeshakua mazoea,sasa sijui mwovu ni serikali au sisi tunaoumizwa na hizi bei za hovyohovyo.Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Sasa mnatakaje? Serikali iwapangie wafanyabiashara bei halafu mseme wanaua biashara? Si ndio biashara huru mnayoitaka hii?Achana na mambo ya fursa kaka tuzungumzie gharama za maisha kupanda alafu serikali ya wanyonge ipo kmy nini maana yake ndio CCM mbele kwa mbele na tumeitaka wenyewe acha ushabiki wa kijinga
JF.Hivi ni wapi huko cement inauzwa 24,000?
gharama za maisha kupanda kwako ni Jambo la kawaida.Hata isiporejea kana zamani Ndio mabadiliko ya bei , hata hiyo 3000 haikuwapo zamani. Tufanye kazi tuache kulia lia
Shda sio kutangaza mabaya hatuoni hata mtu bungeni anae ongelea HILI yani wapo Kama hawaoni vileWaovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Gharama za maisha zinapanda duniani kote. Hilo suala la mafuta na saruji imeshaongelea na inashughulikia kuweka mambo sawa, serikali haiwezi kuja kukulisha inachoweza kufanya ni kukupa fursa ili ujikimu. Kama ni mvivu utaendelea kulia eti maisha magumu huku wenzio tunaona maisha ni kawaida tu.
Hiyo 82000 ni wapi nije kununua? Huku Mbeya sasa tunaongelea 110000 wewe unasema 82,000? Lita huku ni 5500/= huna ukale chukuchuku. Huko bei poa sana halo. Mafuta yakipanda kila mwaka ndio inacheza hapo kwenye 80+k ni bei ya kawaida sana.Yaani Ni noma..lita saiz ni 48000 mafuta ya kula.
Lita 18/20 tuliyokuwa tunachukua kwa 56,000 saiz Ni 82,000 na inazidi kupanda kila siku
Kaka ungekuwa karibu ningekuwamba booooooongeee la kooofi pumbavu hapa tunazungumzia maisha ya mwananchi kwenye kipato cha chini sio wewe mwenye uwezo tunazungumza kwa niaba yao hivi mimi kama mkulima au mmachinga yule uliyekuwa unanipa tisheti pamoja na kuniletea usafiri wakuja kuhudhuria kwenye kwenye kampeni zenu leo leo gharama za maisha zimepanda unaniambia nijishughulishe sasa nijishughulishe mara ngapi?..
Hiyo meli ilikuwa wapi kabla ya upungufu kuwepo.Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Sasa mnatakaje? Serikali iwapangie wafanyabiashara bei halafu mseme wanaua biashara? Si ndio biashara huru mnayoitaka hii?
Serikali wamesema kuna uhaba wa mafuta na meli ya mafuta inakuja uhaba utaisha. Demand vs supply.
Na mimi nimekubaliana na ujinga wako. Soko huria mlilotaka ndio hilo. Au mnataka serikali iingilie tena kupanga bei? Walipoingilia bei za sukari tuliwalaumu wamekosea sasa acha soko liamue.Tufanye nataka kukubaliana na ujinga wako sasa unaweza kuniambia na bei ya sukari kupanda mpaka leo itakuwa meli ipo njiani sio embu tuzungumzie hili jambo kwa mapana yake tuzungumzie kwa bidhaa zote kwa ujumla naomba majibu kwanini kikwete aliweza kulipa mishahara on time na bei za bidhaa zilikuwa zipo normal iweje huyu baba yako alipoingia na gharama za maisha nazo zimepanda?kwako mwalimu kashasha[emoji16]
Na mimi nimekubaliana na ujinga wako. Soko huria mlilotaka ndio hilo. Au mnataka serikali iingilie tena kupanga bei? Walipoingilia bei za sukari tuliwalaumu wamekosea sasa acha soko liamue.