chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Wanaoumia ni wavivu wasiotaka kujishughulisha. Fursa zipo nyingi,ufanye kazi ili uweze kujikimu.
Achana na mambo ya fursa kaka tuzungumzie gharama za maisha kupanda alafu serikali ya wanyonge ipo kmy nini maana yake ndio CCM mbele kwa mbele na tumeitaka wenyewe acha ushabiki wa kijinga