Dune: Naisubiria hii movie kwa hamu kubwa

Dune: Naisubiria hii movie kwa hamu kubwa

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Hii movie inatokana na kitabu kinachoitwa Dune kilichoandikwa na Frank Albert mwaka 1965.

Kitabu kimebase kwenye sayari moja inayoitwa Arakis ambapo kiungo adimu na ghali kiitwacho melange kinapatikana. Lakini sayari hiyo ni jangwa na kuna minyoo wakubwa sana na hatari wanaoishi chini ya mchanga wa jangwani.

Zaidi ya hayo kinazungumza kuhusu inteplanetary politics, usaliti na dini. Ila theme kuu ni ecology.

Movie yake inatoka mwezi oktoba.

Dune_2020_movie_poster.jpg
 
Ni type gan ya movie action comedy and science fiction ila kmmarvel ndio katengeneza subiria fix tu humo
 
Back
Top Bottom